RATIBA YA MECHI ZA UEFA, KUANZIA MECHI ZA LEO MPAKA MECHI ZIJAZO..
Baada ya kupumzika kwa muda ile raha ya soka ya ULIMWENGU WA ULAYA (UeropenNight) umerejea na mara hii ni tunaanza kwa kutazama mtanange baina ya wapinzani ambao wamekuwa na record ya kukutana kwa mara nyingi miaka ya karibu nao ni CHELSEA na PSG.
Na Hii Ndio Ratiba Ya Mechi Hizo Za UEFA.
Maoni
Chapisha Maoni