PICHA YA SIKU NA TASWIRA BLOG..
Butogwa Charles Shija msichana aliyeshika namba moja kwa wanafunzi wote Tanzania waliofanya mtihani wa form four na kuibuka kinara kwa matokeo yake.
Taswira Blog inampongeza sana kwa matokeo yake mazuri, pia inampa pongezi nyingi Mchina Congcong Wang kwa kuwa wa pili kitaifa.
Congcong Wang akiwa na mama yake.
Maoni
Chapisha Maoni