Hii ni idadi ya wasiomkubali Rais Kagame kuendelea kubaki madarakani...
Rais wa Rwanda Paul Kagame aliingia madarakani tangu mwaka 1994 na anatarajia kumaliza muda wake mwaka 2017.
Gazeti ya News Times kupitia kwa wachambuzi wa kisheria limesema kuwa kati ya watu milioni 3.7 kati yao ni watu 10 tu waliopinga Kagame kuwania Urais kwa muhula wa tatu.
Katiba ya nchi hiyo inaruhusu Rais kuongoza kwa mihula miwili tu.
April mwaka huu Taifa la Burundi liliingia kwenye mgogoro wa kisiasa baada ya Rais Pierre Nkurunzinza kuwania muhula watatu kinyume na katiba ya nchi hiyo.
SOURCE:Millardayo.com
Maoni
Chapisha Maoni