Polisi wametoa tamko hili kuhusu Maandamano ya Lowasa Aug 10...
Muda mfupi uliopita kupitia kituo cha ITV kwenye taarifa ambazo zimetolewa na kituo hicho zinasema kuwa Jeshi la Polisi Tanzania limekataza Maandamano ya Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowasa wakati akienda kuchukua fomu ya kugombea Urais.
Edward Lowassa leo anaenda kuchukua fomu ya ugombea Urais kwenye makao makuu ya NEC ambapo kwenye taarifa yake iliyotolewa na vyombo vya habari jana aliomba wanachama wa Ukawa kujiunga nae wakati wa kwenda kuchukua fomu hiyo.
SOURCE:Millardayo.com
Maoni
Chapisha Maoni