David Kafulila aitwa Marekani..

Hivi karibuni aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila alisifiwa na PresidentMagufuli kutokana na kuliibua sakata la Tegeta Escrow ambalo baadaye lilikuwa gumzo kubwa na kupelekea hata kufanywa uchunguzi na wahusika kufikishwa Mahakamani.
Jambo lingine kutoka kwa Kafulila ni kwamba amechaguliwa na nchi ya Marekani kufanya ziara ya mafunzo ya masuala ya uwazi na uwajibikaji kwa muda wa wiki tatu.


Source:Millardayo







































































































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

USAJILI WENYE MANUFAA EPL HADI SASA..