Vituo vya mafuta Dodoma vimepewa siku 10, baada ya hapo hiki kitafuata...


Siku chache baada ya Waziri wa Fedha Dr. Philip Mpango atoe agizo kwa vituo vyote vya mafuta nchini kuanza kutumia risiti za kielektroniki (EFD) kila wanapouza mafuta na kufatiwa na agizo lingine kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania juu ya utaratibu huo, zoezi hili limesambaa pia mikoani.
Ripoti kutoka Dodoma zinaeleza kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana ameagiza vituo vyote vya mafuta mkoani humo kutumia siku 10 tu kufunga mashine za EFD kwenye vituo vyake na baada ya muda huo kupita watavifungia vituo vyote ambavyo vitakiuka agizo hilo.


Source:Millardayo







































































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

USAJILI WENYE MANUFAA EPL HADI SASA..