Burundi yatangaza tarehe za uchaguzi

Tume ya taifa nchini Burundi imetangaza ratiba ya tarehe ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge.
Hata hivyo, msemaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Burundi Prosper Naugwania amesema bado vyama vya siasa havijatoa kauli kuhusu tarehe hizo.
Awali, Halima Nyanza alizungumza na Msemaji huyo wa Tume ya uchaguzi ya Burundi nae anaanza kwa kuzitaja tarehe hizo.
Source(Bbc swahili)

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

USAJILI WENYE MANUFAA EPL HADI SASA..