WANAWAKE WAANDAMANA WAKIWA WATUPU KATIKA KIJIJI KIMOJA UGANDA



WANAWAKE katika kijiji kimoja cha kazkazini mwa Uganda wamefanya maandamano wakiwa watupu kutokana na mgogoro wa ardhi kati ya utawala wa eneo hilo na jamii ambao umeendelea kipindi cha miaka 10 hadi sasa.
Maandamano hayo yanekuja kufuatia mawaziri wa serikali na watafiti kuweka mpango wa kukata kipande cha ardhi katika kijiji cha Apaa huko Amuru nchini humo.
Utawala wa wanyama pori nchini Uganda unaamini kwamba watu wanavamia ardhi ya uhifadhi wa wanyama pori huku wakazi wakidai kwamba ardhi hiyo ilikuwa ya mababu zao.
Source(Efm radio)

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Orodha ya nchi 10 zaidi duniani zenye idadi kubwa ya watu kuliko nchi nyingine (2000-2015) na Nigeria ikiwa ndio nchi ya pekee kutoka bara la Afrika

Wachezaji Ligi Kuu wakatiwa Bima ya Afya...