WEZI WAISAFISHA NYUMBA YA PALLASO



Wezi wamevunja kwenye nyumba ya Pallaso huko nchini Uganda na kuiba kila kitu ndani hivyo kuicha nyumba ikiwa tupu bila kusalia kitu chochote.
Tukio hilo limetokea wakati msanii huyo anatumbuiza kwenye show ya ndugu zake Radio & Weasel
pius Mayanja (Pallaso) akizungumza baada ya tukio hilo kwenye moja ya post yake fupi iliyochukuwa hisia za wengi amesema  anaamini yeye ni shujaa na pia Mungu yupo upande wake

member huyo wa zamani wa kundi la Team No Sleep amekuwa na wakati mgumu mwaka huu mara baada ya kumpoteza kaka yake Ak 47 (Emmanuel Mayanja) ambae kifo chake hadi sasa kina utata ndani yake.

Mbali na hayo Pallaso pia anatarajiwa kufanya tamasha kubwa nchini Uganda kutambulisha albam yake mpya.
Soirce(Efm radio)







Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

USAJILI WENYE MANUFAA EPL HADI SASA..