Picha tatu za Boti ya KILIMANJARO V ilivyoshushwa kwenye maji Zanzibar
Usafiri wa Boti ndio kiungo muhimu cha Dar na Zanzibar, watu wengi wanautegemea usafiri huu mtu wangu.. Good news kwa wasafiri wote DAR-ZANZIBAR !!
Boti nyingine tayari imeshushwa kwenye maji Zanzibar na time yoyote itaanza safari kati ya Dar na Zanzibar, ninazo pichaz zikionesha Boti hiyo ilivyoshushwa toka Australia.
Source; (Millard Ayo.com)
Maoni
Chapisha Maoni