MAGUFULI AAMURU PESA ZA SHEREHE ZA UHURU KUFANYA MAMBO HAYA...


WAKATI watanzania tukiwa katika hali ya kujiuliza juu ya namna utendaji kazi wa Rais Magufuli ulivyo,leo hii amewaacha tena kinywa wazi watanzania kwa uamuzi wake wa kutoa bilioni 4 za sherehe za Uhuru kwa ajili ya upanuzi wa Barabara
Magufuli amesema kuwa fedha hizo tayari zimepelekwa kwa wakala wa barabara hapa nchini TANROADS kwa ajili ya utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya kilometa 4.3 ya kutoka Mwenge hadi Morocco jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Mtendaji mkuu wa TANROADS ,Mhandisi Patrick Mfugale,Dr Magufuli ametaka ujenzi huo uanze haraka ili kukabiliana na adha ya msongamano wa magarikatika barabarahiyo
Barabara hiyo inataraji kujengwa kwa kuongezwa njia mbili hivyo kufanya barabara hiyo kuwa na njia tano

IMG-20151130-WA0003














SOURCE:Mtembezi.com































































































































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

USAJILI WENYE MANUFAA EPL HADI SASA..