HUKUMU YA ZUIO LA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MAWAZO KUTOLEWA LEO...
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mwanza inatarajiwa kutoa hukumu dhidi ya kesi ya kupinga tamko la kamanda wa polisi mkoani humo la kuzuia shughuli ya kuuaga mwili wa marehemu Alphonce Mawazo iliyofunguliwa na baba mdogo wa marehemu.
Kesi hiyo iliyokuwa ikisikilizwa na jaji mkuu katika Mahakama hiyo Lameck Mlacha ambapo mawakili wapande zote mbili upande wamlalamikaji na upande wawalamikiwa wamewasilisha hoja zao katika mahakama hiyo, na itatolewa hukumu yake leo saa saba mchana.
Hukumu hiyo ya leo inatarajiwa pia kuamua iwapo Mwili wa Marehemu Alphonce Mawazo utazikwa lini.
SOURCE:Efm Radio
Maoni
Chapisha Maoni