Wolper Afunguka Uzushi Wa Magazeti Juu Yake Live Kutoka Katika Ukurasa Wake Wa Instagram..



Nimesoma gazeti la leo,limenisikitisha kwa mambo mawili..kwanza inaonyesha jinsi gani waandishi wengi wa habari haswa huyu alieandika uzushi huu hawana sifa dhahiri wala taaluma ya kutosha nafasi yake
Pili ukisoma habari yenyewe huoni kichwa wala miguu
Hadi sasa kuwa na imani na chama cha CHADEMA NA LOWASSA mmezusha mangapi? Imanisha mtoto wa kike hana nafasi katika siasa hadi ihusiane na mapenzi au mahusiano?
Huyo mtoto hata jina hamjataja jinsi gani story husika ni ya kusadikika
Kwanini? Mnaendelea kuchafua watu kila siku jipya na halina kichwa wala miguu
Hizi habari zinapimwa? Au kuna taasisi inayoangalia haya?? Vyombo vya habari haswa magazeti yanatakiwa yawe yakinifu kwasababu yanafika kila mahal
Ila yanatumika sana kuchafua watu na hata kuwaharibia kazi zao
Acheni mambo ya ajabu na yasio na tija
Na wewe ulioandika aibu yako na taaluma yako
Ukikosa cha kuandika nenda vijijini watoto wanabakwa na walimu
Wanawake wanadhalilishwa kijinsia nk ila hamuwapi airtime
Shame on you..








SOURCE:Batazatown.com








































































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

USAJILI WENYE MANUFAA EPL HADI SASA..