Hivi Ndivyo Hari Inavyokuwa Katika Mwezi Wa December Jijini Lagos Nigeria Kuliko Miezi Mingine Kwa Mwaka.(PICHA)
Foleni Kali katika Moja Ya Barabara Jijini Lagos, Nigeria.
Mwezi wa December ni mwezi wa Sikukuu ya Christmas na ndio mwezi unaosababisha kutokea kwa foleni kubwa sana katika Jiji la Lagos nchini Nigeria kuliko miezi mingine katika Jiji hilo.
Hii ni kutokana na watu wengi kuingia katika mji huo kwa kutafuta bidhaa mbalimbali na wengine kuutembelea mji huo kwa mambo mbalimbali hasa katika maandalizi ya Sikuku ya Christmas .
Maoni
Chapisha Maoni