Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Afanya Ziara Bandarini Leo..
Waziri mkuu wa Tanzania kassim majaliwa leo amefanya ziara ya kushtukiza bandari kuu ya dar es salaam kwa ukaguzi wa makontena.
Waziri mkuu aliwasili bandarini akiwa na msafara wa kawaida tu magari matatu na ulinzi wa polisi.Anefanikiwa kukagua system ya uendeshaji wa kazi hapo bandarini na kugundua kuwa kuna kontena 2431 zilipotea katika mazingira yasiyoeleweka ambapo ameagiza kontena izo ifikapo saa kumi na mbili jioni ya leo 3/12/2015 awe amepelekewa majina ya wamiliki wa makontena ayo haraka sana.Mheshimiwa waziri mkuu ajaishia hapo tu kaenda pia ofisi za reli na kugundua kuna ufisadi mkubwa sana wa tshs billion 100 ambazo zilifanyiwa matumizi yasiyoendana na kiwango cha pesa kilichoingia katika ofisi izo ivyo akaagiza anaitaji maelekezo juu ya matumizi ya iyo pesa billion 100.
SOURCE:Shebymastory
Maoni
Chapisha Maoni