HUU NDIO UTAKUWA UWANJA MPYA WA CHELSEA KWA MWAKA WA 2020..(+PICHAZ)
Chelsea hadi itakapofika mwaka 2020 watakua na uwanja mpya ukiachana na huu wa sasa hivi Stamford Bridge. Uwanja huo ambao unaigharimu Chelsea kiasi cha £600million ili kuukamilisha utakua na uwezo wa kuingiza watu 60,000 kwa wakati mmoja.
Design ya uwanja huo unanekana kama temple flani la zamani la Romans na watu wameshaanza kuuita Roman’s temple of football. Hizi ni picha za muonekanao wa uwanja huo ambao utachangia kipato kikubwa kibiashara kwa Chelsea.
SOURCE:Shaffihdauda.com
Maoni
Chapisha Maoni