Ajali ya moto Jengo la NSSF eneo la Akiba leo May 6/2016 (+PICHAZ)

Jengo lililoko eneo la akiba posta jijini Dar es salaam limeripotiwa kuwaka moto kuanzia majira ya jioni na chanzo cha moto huo kinasemekana ni mtungi wa gesi kulipuka na kusababisha moto, inasemekana hakuna madhara makubwa kutokana na zimamoto kufika kwa wakati katika eneo la tukio.  
IMG-20160506-WA0032

jengo kuungua 2

IMG-20160506-WA0031




Source:Millardayo.com





























































































































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

USAJILI WENYE MANUFAA EPL HADI SASA..