JE' UNAZIJUA SHOPPING MALL KUBWA ZAIDI DUNIANI (PICHAZ)
Mall ni zaidi ya Superrmarket ambayo inamkusanyiko wa maduka mbalimbali na biashara nyingine nyingi ufanyika humo na kila aina ya bidhaaa upatika ndani ya Mall kiurahisi zaidi.
Ndio maana wawekezaji na makampuni mbalimbali utumia pesa zao nyingi kuwekeza katika Mall ili kujenga Mall zenye hadhi ya kimataifa zinazo fanya kazi mbalimbali ambazo binadamu uhitaji katika maisha yake yote.
Na hizi ndizo Mall 10 kubwa zaidi duniani kwa kuchukua eneo kubwa la ujenzi na kuchukua idadi ya wateja wengi watuamiayo Mall hizo.
1. New South China Mall, Dongguan, China – 659,612 square meters
2. Golden Resources Mall, Beijing, China – 557,419 square meters
3. SM City North EDSA, Quezon City, Philippines – 482,878 square meters
4. Isfahan City Center, Isfahan, Iran – 470,000 square meters
5. 1 Utama, Selangor, Malaysia – 465,000 square meters
6. Persian Gulf Complex, Shiraz, Iran – 450,000 square meters
7. Central World, Bangkok, Thailand – 429,500 square meters
8. Mid Valley Megamall, Kuala Lumpur, Malaysia – 420,000 square meters
9. Cehavir Mall, Istanbul, Turkey – 420,000 square meters
10. Sunway Pyramid, Subang Jaya, Malaysia – 396,000 square meters
Source:The richest.com
Maoni
Chapisha Maoni