Bangi kuwatibu wagonjwa Ujerumani..
Bangi
Serikali ya Ujerumani imeidhinisha mswada unaowaruhusu wagonjwa walio katika hali mahututi kutumia bangi kama dawa kuanzia mwaka ujao.
Kufikia sasa ,raia wa Ujerumani wanaougua magonjwa kama vile Saratani,Ukimwi pamoja na kutetemeka kwa mwili wamekuwa wakitumia bangi .
Mataifa kadhaa ya Ulaya tayari yanatumia bangi kutibu magonjwa kupitia uidhinishaji maalum,huku majimbo kadhaa ya Marekani yakipiga marufuku utumizi wake .
Source:BBC
Maoni
Chapisha Maoni