Good News kwa muziki wa Afrika Chris Brown kampa dili Wizkid..


Najua jina la Chris Brown sio geni masikioni mwa watu wanaopenda muziki, basi leo May 29 2016 huenda ikawa ni good news kwa muziki wa Afrika, baada ya msanii kutoka Marekani Chris Brown kumpost msanii Wizkid kutoka Nigeria.
Katika ukurasa wake wa Instagram Chris Brown amempost Wizkid na kuandika maneno machache sana, lakini yanatafsirika kama kumualika mkali huyo wa Nigeria katika tour yake ya One Hell Of Nite Tour kwa mwaka 2016 atakayoifanya bara la Ulaya katika nchi za UholanziUjerumani na Denmark.
Muda mchache baada ya Chris Brown kupost picha ya Wizkid, staa huyo kutokeaNigeria alipost nae picha kama hiyo na kuthibitisha kuwa kuanzia June 5 hadi June 11 2016 atakuwa katika #OneHellOfANiteTour pamoja na Chris Brown.





Source:Millardayo.com

















































































































































































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

USAJILI WENYE MANUFAA EPL HADI SASA..