Claudio Ranieri achaguliwa kuwa kocha bora mwaka 2016
Kocha wa klabu ya Liecester City Claudio Ranieri achaguliwa kuwa kocha bora mwaka 2016 na kunyakuwa tuzo ya Enzo Bearzot inayotolewa na shirika la soccer nchini Italia.
Ranieri amejipatia tunzo hiyo baada ya kuisadia timu yake ya Leicester City kutoa ubingwa wa ligi ku ya Uingereza kwa mara ya kwanza katika historia ya timu hiyo
Tuzo hizo zilianza kutolewa mwaka 2011 na shirika la soka Italia.
Source:Bongo 5
Maoni
Chapisha Maoni