Machapisho maarufu kutoka blogu hii
USAJILI WENYE MANUFAA EPL HADI SASA..
1. Ng’olo Kante kutoka Leicester City kuelekea Chelsea kwa hakika hakuna asiyejua thamani na mchango wa Mfaransa huyu, amecheza vizuri Leicester City kazi nzuri akiwa timu ya taifa sasa hivi yupo Chelsea kwa dau la £32 milioni. 2. Viktor Fischer – AFC Ajax kuelekea MIddlesbrough kwa dau la £3.8 milioni, Middlesbrough haizungumziwi msimu huu lakini imefanya usajili wa maana sana wamepata saini 3 za nyota kama Victor Valdes, Negredo na Fischer ambaye alitumiwa maombi na timu kama Manchester United, Chlese na Manchester City. 3. Henrikh Mkhitaryan kutoka Borrusia Dortmund kuelekea Manchester United, kila mmoja anajua shughuli ya kiungo huyu wa Almenia, hakosei kupiga pasi za mwisho na kufunga magoli ambayo yana msaada kwa timu dau lake ni £26.3 milioni kazi itakuwepo msimu huu. 4. Loris Karius – FSV Mainz 05 kuelekea Liverpool FC kwa £4.7 milioni ni golikipa amekuja kwa ajili ya kumpa changamoto Mignoleti pale Anfield, usajili ambao una maana kubwa ...
Picha 10 za Ikulu zilizo nzuri zaidi Duniani...
1. Ikulu ya Forbidden City Ni ikulu ambayo ipo katikati ya Beijing, Forbidden City ni moja ya ikulu kubwa duniani yenye ukubwa wa hekta 72 . Ime jengwa mwaka 1406-1420 , lina majengo 980 ya kuishi na idadi ya vyumba 8707. 2.Ikulu ya Potala Ni ikulu iliyo jengwa juu ya milima wa Marpo Ri,Uliopo mita 30 juu ya bonde la Lhasa , Ikulu ya Potala kingo zeka ni zaidi ya mita 170 na ni kubwa.I kulu i likuwa tayari ime jengwa hapa katika karne ya 7, ujenzi wa jumla ulianza mwaka 1645 wakati wa utawala wa tano Dalai Lama na kwa 1648 Potra 3.Ikulu ya Alhambra Sehemu ya ngome , sehemu ya ikulu na sehemu ya bustani Alhambra ni mji ambao uko juu ya Plateau...
Maoni
Chapisha Maoni