Huu ndio muonekano wa ndani wa meli mpya kubwa duniani "HARMONY OF THE SEA". (PICHAZ)
Mapema wiki hii meli ambayo ina uwezo wa kuchukua abiria 6,780 iling’oa nanga Southampton kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kabla ya uzinduzi rasmi, Watu 3000 wamepata bahati kupanda meli hii kubwa duniani. Meli hiyo inayojulikana kwa jina laHarmony of the sea ilitoka Southampton siku ya jumapili katika safari yake ya kwanza ya kibiashara kabla haijarudi tena Uingereza.
Hizi ni baadhi ya picha zinazoonyesha muonekano wa Meli hiyo
Source:Millardayo.com
Maoni
Chapisha Maoni