India wameifikia hii rekodi kwenye masuala ya hali ya hewa.(+Pichaz)


Nchi ya India ni moja ya nchi katika bara la Asia ambapo wiki hii wamezichukua headline kwa kuvunja rekodi ya kuwa na joto kali zaidi ambalo limefikia hadi sentigredi 51  huko mjini Phalodi magharibi mwa Rajasthan. Mji huu ambao ni jangwa liitwaloThar limechangia pia kuwa na pepo zitokazo magharibi zikiwa na hali ya umoto.
Joto hili limepelekea kufa kwa mifugo na mazao kuharibika na kuacha watu milioni 330 wakiwa na shida ya maji kutokana na ukame huo, pia janga hili limewapata mji wa Guruambapo joto lao limefika sentigredi 50 kwa tofauti ya asilimia moja tu, New Delhi nao wamefikisha takribani sentigredi 47.
Rekodi zinasema hali hii ilishawapata India kwenye mji wa Alwar hukohuko Rajasthan baada ya kufikisha sentigredi 50.6  mnamo mwaka 1959.
.

.

.

.

.

.

.

.

.
Hifadhi za maji zimekuwa zikilindwa 

.

.

.

.

.





Source:Millardayo.com









































































Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

USAJILI WENYE MANUFAA EPL HADI SASA..