Chauma cha ahidi kuwaletea mabadiliko katika sekta ya ajira wananchi...
Wagombea urais wa Zanzibar na muungano kwa chama cha ukombozi-Chauma- kwa pamoja wamefunga mikutano ya kampeni zao kisiwani Zanzibar huku wakiahidi kuwaletea neema na mabadiliko makubwa wazanzibari na watanzania wote.
Wakifunga mkutano wao wa kampeni katika viwanja vya daraja bovu wagombea hao wameahidi kuleta maabdikiko makubwa na serikali ya sasa iemshindwa kuwatumikia wnanchi,ambapo Hashim Rungwe mgombea urais wa muunganao amemsmea waatanzania wanataka ajira za uhakika na sio ubabaishaji.
Akizungumiza ahadi yake kwa watanznaia endapo watampa ridhaa ya urais wa muungano Bw.Rungwe amemsmesa atabadilisha mpango wa maisha ya watanzania na kuwa na milo mitatu ya uhakika na kuwa na maisha mazuri,huku mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama hicho cha chauma Mohamed Masoud amewahakisihia wazanziabri kuwa serikali yake itaimarisha mindomnbinu ya kijamii na kujikita katika elimu na Afya.
Huo ulikuwa mkutano wa mwisho wa kampeni hapa Zanzibar na jumapili watanzania wataamua hatma ya viongozi wanowataka ambapo Zanzibar kuna wagombea 14 wa urais na kwa upande wa muungnao kuna wagombea wanane na kwa mujibu wa mkurugenzi wa uchagzui zanzibar mandalizi yote yako sawa na yamekamilika.
SOURCE:ITV
Maoni
Chapisha Maoni